Asante anko sina la kuongezaa ...mm nshapigiwaMuziki: Mvua ya Joto
Mmmh! Leo nitaaandika haraka haraka maana kuna ndoto nataka niiote nikilala na ninavyojijua nikiandika taratibu siwezi kuiota hii ndoto. FYI, hii ndoto ni mwendelezo tu wa ndoto zangu nyingi ukiacha ile moja ambayo ilinipaga jina baya ugenini. Nitakwambia kuhusu hiyo ndoto siku moja labda ijumaa nikiwa niko tingasi, na itabidi nikueleze mapema kabla mjomba wangu hajanikumbusha. Kwanza nakusalimia sana na ama baada ya salamu ninakukaribisha tena kwenye kipengele hiki cha muziki, haijalishi unakipenda au kinakuchukiza lakini kwa kuwa wewe upo hapa basi hakijaharibika kitu.
Nikushukuru sana Tumosa kwa kudhamini magazeti, wageni waliposikia mama JJ ni nani mimi nimeona niwape nyeupe na nyeusi, shululu alimaanisha kuwa wewe ndo unayempa usingizi. Asante BlessedHope kwa sala za muda wote na ambazo kiukweli leo zimeongezewa nakshhi na Transcend pamoja na SHIMBA YA BUYENZE , mnafanya vema sana wadau. Mnajua huwa sichoki kuwashukuru aunty yangu Shunie kwa hadithi bila kumsahau aliye moyoni mwangu hadi najisahau kukutambulisha kwake, la habibt husna muba, anko wangu Lyon Lee hongera kwa kutaka kutenganisha ngao ya maji na ngao ya kidonge. Ninakushukuru pia kwa kuendelea na neno lako kuwa nikienda Kigamboni nguo zangu zilowekwe na zianikwe kwenye mvua. You made my day na smile nililokuwa nalo nakumbuka ulinilazimisha kutabasamu pale tulipokuwa Morogoro kwenye ile bar tuliyokunywa Safari lager na chapati
Muziki sasa, hebu nitarudi tena
Hahahah kumbe hujuii wakati kakwambia umtumie ile ya dula ya janaMazoezi ya nini tena hayo mama angu [emoji41]
[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mama nae kivuruge kama binti yke
Kheee nimtumie [emoji134]♀️ utatoa hutoi alisema nimtumie we mama jamaanHahahah kumbe hujuii wakati kakwambia umtumie ile ya dula ya jana
Hapana kwenye s weka s sio mambo ya x sio siri sipendi mimi hata tumosa ana huo uhandishiWewe x unawaza puchu kama husna ..
Hiyo hiyo tena kaomba mara 2Kheee nimtumie [emoji134]♀️ utatoa hutoi alisema nimtumie we mama jamaan
Ni keybord na speed make x ipo chn ya sHapana kwenye s weka s sio mambo ya x sio siri sipendi mimi hata tumosa ana huo uhandishi
Ya viungo....Mazoezi ya nini tena hayo mama angu [emoji41]
HayaNi keybord na speed make x ipo chn ya s
Aisee sitaki kuamini kabisa ujue sijakufua makaburi kwahiyo mama anataka utatoa hutoi ahahahhhHiyo hiyo tena kaomba mara 2
Vimefanyaje tena mama viungo jaman [emoji134]♀️Ya viungo....
Shunie nitumie hizi nyimbo whatapp please nalala kesho niwahi mazoeziBinamu santee
Ndiyoo na huo nipigie mimi sijapigiwa badoooKheee nimtumie [emoji134]♀️ utatoa hutoi alisema nimtumie we mama jamaan
Basi nitumie wewe Shunie hajatuma ..na huu wasasaHiyo hiyo tena kaomba mara 2
HahahhaAisee sitaki kuamini kabisa ujue sijakufua makaburi kwahiyo mama anataka utatoa hutoi ahahahhh
Mzuri kwa mazoeziAisee sitaki kuamini kabisa ujue sijakufua makaburi kwahiyo mama anataka utatoa hutoi ahahahhh
Nataka niwe modalVimefanyaje tena mama viungo jaman [emoji134]♀️
Kheeee [emoji134]♀️[emoji134]♀️ hajakupigia nani sasa huu nimeshakutumia ngoja nitafute huo utatoa hutoi ni binamu ndio ananiharibia mama au mbona sielewi mimiShunie nitumie hizi nyimbo whatapp please nalala kesho niwahi mazoezi
Ndiyoo na huo nipigie mimi sijapigiwa badooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nataka niwe modal