Shunie anatupiga danadana mamaNawasubiri hivyo mwaka unaisha sasa[emoji4] [emoji4]
[emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji126] [emoji126] [emoji126]
Shem ulininyima kekiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]Rudiii
MorningMorning KF family
Salama.Hbr ya asubuhi wapendwa,muwe na mwanzo mwema wa mwezi
Nawapenda
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji8] [emoji8] love u too momNjema barikiwa mwanangu mwezi November mwema ...Love you[emoji173]
[emoji120] [emoji120] [emoji120][emoji524]Zaburi 140
12 Najua ya kuwa BWANA atamfanyia mnyonge hukumu, Na wahitaji haki yao.
13 Hakika wenye haki watalishukuru jina lako, Wenye adili watakaa mahali ulipo Wewe.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Usichekeeee nakufuatilia kama WANAOJULIKANA