Mmmh ukweli mpaka nililala[emoji3] [emoji3] mwanao kavurugwa
Wewe ni shemeji tu,mwanangu ameolewa na Lee Empire..naogopa Unavyomfuatilia[emoji85] [emoji85]Ushaanxa
Hahaha wewe..itafahamika tu..bado uanichanganya..anyway ukweli unaujua mwenyewe..lkn hata mimi unanidanganya[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Kumfitini binamu kwa mpendwa wake mama mchuchu
Tena wa nyama..na unasukuma damu sio gesi ya MTWARA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pambana na hali yako mama yangu ana moyo ujue
[emoji174]Sitaki kuona mama akichezewa moyo wake
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Mimi apa nipo usinimiss kabisaa...nipo 24/7
Ukujeee[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji113] [emoji113]
ShukraniHbr ya asubuhi wapendwa,muwe na mwanzo mwema wa mwezi
Nawapenda
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wewe ni shemeji tu,mwanangu ameolewa na Lee Empire..naogopa Unavyomfuatilia[emoji85] [emoji85]
Nyimbo inaitwa Hujaulamba
Hii hapa yote.
Mimi apa[emoji133]...muite BH nimjibu hili swali kwa moyo wote
Hapa mama umeniacha njia pandaHahaha wewe..itafahamika tu..bado uanichanganya..anyway ukweli unaujua mwenyewe..lkn hata mimi unanidanganya[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Tena wa nyama..na unasukuma damu sio gesi ya MTWARA
Nawasubiri hivyo mwaka unaisha sasa[emoji4] [emoji4]Ngoja nkanunue dera nianze mazoezi ya kucheza hujaulamba
binamu tukienda kg mama atuandalie hii nyimbo tutaicheza
Mimi apa[emoji133]Mama yangu jaman ebu ukuje huku binamu anakuita BlessedHope