Makapuku Forum

Anko Obe anawasalimia sana japo katekwa kondoa na lijimama anapambana nalo ....

...halafu anko nilijua haya mambo tumeyamaliza kwamba kilichotokea Kondoa kibaki Kondoa, kisitoke. Sasa ukikileta huku na hali unaona kuna jamaa anamzengea Husna wangu, si ndo utasababisha nipewe talaka hata hakujakuchwa na hatujacheza waichukucha
 
Kwa hiyo wewe ankalii ulivoniovateikii ulifirii ntatulia ata kama katiba yetu inasema kizur kipya kula na ankali ila kigezo aliyeona ndo wa kwanza kufaidi

Mm namuongezea vichocheo bwana joveee tu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…