Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Shemeji umeshindwaje kunitafuta mi mwenyewe nipo tukuyu toka juma tano naondoka hapa keshoYupo kajaa tele, nilikuwa tukuyu ndio nipo njiani narudi dar
Shemeji umeshindwaje kunitafuta mi mwenyewe nipo tukuyu toka juma tano naondoka hapa keshoYupo kajaa tele, nilikuwa tukuyu ndio nipo njiani narudi dar
Wee bwana weeAisee...Ex wangu ushapata wa kukuliwaza...Hongera
mbona hivyoo?
LioneeeeWee bwana wee![]()
![]()
mbona hivyoo?
Sio kweli mkuu anantania tuHahaha...
Joseverest ulikuwaga unakamatia Husna Muba kumbe?

Ila ye bado anakupendakitambo sijui ''akaja kula maharage ya wapi'' tukaachana humuhumu JF
Mtani veepe miswali km poliseAisee..
Kwaa hiyo nani alipitiwa na shetani?
Tumepishana shemeji, ila nitarudi usijaliShemeji umeshindwaje kunitafuta mi mwenyewe nipo tukuyu toka juma tano naondoka hapa kesho
Sawa ila mi sio mtunzi kuna sehemu naziiba tuhizi story zako nzuri...nitafanya mawasiliano na wewe uwe unanitumia
Ukirudi nitafute shemeji maana kuonana ni mhimu sanaTumepishana shemeji, ila nitarudi usijali
Chikamoo husnaSawa ila mi sio mtunzi kuna sehemu naziiba tu
utanielekeza hapa hapa au njoo inboxSawa ila mi sio mtunzi kuna sehemu naziiba tu
Ngoja waje wataitikaChikamooo wakubwa
Sawa ila hii na wewe mhusika itikia basiNgoja waje wataitika
Huyu ni mtani wangu km ulivyo wewe tuAisee..
Pole sana mkuu.
so don't take it serious
Huko kupiga yowe vipiUwiiii.....![]()
mayooo.....José plz.....
Kalale dogo
Nimeshakutoa Moyoni...ulifanya moyo wangu ushindwe kusukuma damu ukuhifadhi wewe tu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
lioneeeee
