Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Wewe unachepuka sana au ndo kukomoana na ankoooKwani mie ng'ombe hadi unichunge?!
Wewe unachepuka sana au ndo kukomoana na ankoooKwani mie ng'ombe hadi unichunge?!
Aisee Tena?Huyu ni mtani wangu km ulivyo wewe tu![]()
so don't take it serious
Haya maneno aliambiwa na Shedede ila badae yakabadilika yakaanza maneno magumu hata kuyatamka siweziKwa obe nimefika kigoma mwisho Wa reli
Popote ulipo mpendwa obe ujue nakupenda sana
Niitikie nn sasa? We si umesema nichike moo?!Sawa H ila itikia ndo nitachika mwenyewe
Si ndio mi nashangaaUnamchunga amekuwa mifugo?
AsichepukeeeSawa binadamu unamchungaje?
Huyu anatatizo linalo hitaji msaada na kuambiwa kuwa mwanamke hachungwiSi ndio mi nashangaa
Pole binadamu hachungwi ila anakumbushwa wajibu wake tu kwa aliye naeAsichepukeee
Tuchepuke tu hakuna jinsi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ndio lakini Tulishaachana dear
Weeeee thubutu yako....haiwezekani Khantwe ananitosha sasa hiviTuchepuke tu hakuna jinsi
We ni jipuNaandamana nakuja mjini
Hapo chaachaSawa binadamu unamchungaje?
utazira sana hadi mwaka uishe...ndio sirudi nyuma.... Kaendelee kwenye kiwanda chako cha cherehani....hivi bado unashona

Hee....usinisingizie aseeWewe unachepuka sana au ndo kukomoana na ankooo
kila la heri My ExKwa obe nimefika kigoma mwisho Wa reli
Popote ulipo mpendwa obe ujue nakupenda sana
Mbona husna anakana?Yap yap