Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Mbona mi sio Wa tabataHusna niko Tabata kwenu leo.
Mbona mi sio Wa tabataHusna niko Tabata kwenu leo.
Waebrania 11:1
[1]Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
USIKU MWEMA![]()

PoleniMmh mwenzangu anatutia majaribuni tu hapa
Salama kabisaMzima mwanangu za uzima mpenzi![]()
Obe yuko wapi?Mbona mi sio Wa tabata
Shemela.mD hajambo kabisa shemela wangu
MkuuWatu siku hizi mmekuwa machachari haswaaa
Hujambo... T
Cjambo hbr ya ckuHujambo... T
Hawajambo wenzao je?Pouwa kabisa...
Uncle zangu wazima?
KwemaMkuu
Wako pouwa kabisa...Hawajambo wenzao je?
Haya asanteeMtunzi ndio kaishia episode hiyo akiendelea nitaweka jaman
Yuko pembeni yanguObe yuko wapi?
Nawe pia lala unonoEeeh..
Basi usiku mwema mtani