Makapuku Forum

[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Ameni mama twakupenda pia[emoji7] [emoji7]
 
Muziki: Wikend Bila Ngenga

Ninakusalimia na kukutakia muendelezo mzuri wa wikend hii. Bila wewe KF si chochote na wewe ni mtu mzuri sana na unajijua.

Muziki sasa, niko na anko ananisimulia kuhusu mechi ya watani wa jadi ambayo kama ulikuwa hujui imemalizika kwa sare, bahati yao.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…