Huyu husna yupo kwenye kigodoro anko ...naona familia yenu kila mtu na yake urudi usirudii potelea mbali..Husna mpenzi wangu, nitachelewa kidogo, niko kwenye kikao cha kuwapongeza walioteuliwa jana. Natamani ungekuwa hapa lakini utakunywa nini sasa maana viinywaji vilivyopo ni vya walipa kodi, hakuna cha maji wala juice
Atuachie barukutu
Ahahhaah unanijaza me mchaga kasingiziwa yaan binamu hajakosea kabisaMama pedesheee mtoto ya ndama
Hivi me nina povu eenh
Mwifwa kasema kapoLeo hakuna baridi mbona
Huu ni udwanzii wa kiwango cha shida...eeeh, kumbe! Hivi ndo wewe umekaa hapo mbele kabisa unaangalia bakulutu na Fanta orange,? Yaani umeomba na glass kabisa.
Ndioooo...eeeh, kumbe! Hivi ndo wewe umekaa hapo mbele kabisa unaangalia bakulutu na Fanta orange,? Yaani umeomba na glass kabisa.
Binamuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh...sijasema mimi wallah, aunty mimi siwezi kukukosea hishma namna hii. Mambo ya povu kayaleta shemeji yako ambaye mimi ni mjomba wangu.
Ila mimi nakujua kila baya la wao unaniangushia mimi, kisa mimi mnyonge wako
kwani husna hanywi vinywaji vya walipa kodi
Anapenda mauno ya shanga....Shululu kafanyaje jamani
Si mtu ataagiza kinywaji chake anachopenda jaman me sipendi maltaMalta vipii??
...ustaadhaat huyu wewe, usimwone hivyo! Labda nimnyweshe indirectly, si unajua mambo aliyoimbaga Juma Necha kuhusu Sinta "...alipigwa denda mpaka gari ikagoma kwenda, ...vumbi likatimuka abiria hawaoni stend;, si ndo wakanyonyana, ndimi njenje'
Si mtu ataagiza kinywaji chake anachopenda jaman me sipendi malta
Huyu husna yupo kwenye kigodoro anko ...naona familia yenu kila mtu na yake urudi usirudii potelea mbali
Najua yule cheupe ashakuteka
Ndo bia ya ngap hyo binamu...ustaadhaat huyu wewe, usimwone hivyo! Labda nimnyweshe indirectly, si unajua mambo aliyoimbaga Juma Necha kuhusu Sinta "...alipigwa denda mpaka gari ikagoma kwenda, ...vumbi likatimuka abiria hawaoni stend;, si ndo wakanyonyana, ndimi njenje'