Makapuku Forum

...aafu hii smirnoff imetupiwa vibonge vya ice, hakyanani unaweza kumpigia simu imam au mchungaji umfundishe masuala ya kuishi vizuri duniani
Ahahahhhh umeona eenh binamu halaf mtu anataka muonane tu bure bure atapambana na hali yake
 
..Husna mpenzi wangu, nitachelewa kidogo, niko kwenye kikao cha kuwapongeza walioteuliwa jana. Natamani ungekuwa hapa lakini utakunywa nini sasa maana viinywaji vilivyopo ni vya walipa kodi, hakuna cha maji wala juice
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani husna hanywi vinywaji vya walipa kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…