Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Asante mama mch.Hi ubarikiwe
Asante mama mch.Hi ubarikiwe
Kweli kabisaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Oooooh sikuwahi kujua
[emoji15] [emoji15] [emoji15] amaizing
Kweli kbsa mama cku hazifananiMpe pole sana siku hazufanani
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Ni poa tu, tupo tunaendelea kupambana
Nyagei
Ndiyo mkuu. Tiketi unaiona unaisave unaendelea kuangalia kama kuna zingine zenye muda mzuri zaidi au bei rahisi ukija kurudi tiketi ile ile unaikuta imepanda kwa dola hata 300 na uko pale pale wala hujaondoka. Jamaa wajanja sana. Wanajua kuwa kama unarudi rudi kwenye site yao basi ni kweli uko siriazi na wanakukamata hapo hapo![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji120] [emoji120]Asante mama mch.
Nomaa mkuuNdiyo mkuu. Tiketi unaiona unaisave unaendelea kuangalia kama kuna zingine zenye muda mzuri zaidi au bei rahisi ukija kurudi tiketi ile ile unaikuta imepanda kwa dola hata 300 na uko pale pale wala hujaondoka. Jamaa wajanja sana !!!
Mfano mkuu tupe?