Morning shululuMorning KF family
Akulinde na wewe mkuuView attachment 616594Asubuhi njema makapuku wote na Mungu awalinde
Ahsante sana kwa font ferd.View attachment 616594Asubuhi njema makapuku wote na Mungu awalinde
Mungikiii wa ukonga
Wamuachee huyu mama magari yake
AsanteeView attachment 616594Asubuhi njema makapuku wote na Mungu awalinde
Morning too...Morning
[emoji15] [emoji87]Usiku mwema wakuu.
![]()
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]...nilikuwa natania tu, mimi kwako unajua kabisa sijiwezi. Anko wangu anadhani umenilisha limbwata lakini mimi ndo najijua, navyokupenda yaani utasema padri na mvinyo au imam na tasbihi. Hatuachani hadi tupewe vyeti kama kamati ya makinikia
[emoji57] [emoji57] [emoji57]...oh, kwa hiyo BH ana wozap? Mbona mimi sijui jamani.
Huwa mnanionaje humu lakini, inakuwaje anakuwa hadi na pm halafu mimi sijui.
Sawa bhana, ila sio poa hata kidogo
Shusha mambo yetuu sie[emoji15] [emoji87]
Nawe piaView attachment 616594Asubuhi njema makapuku wote na Mungu awalinde
Huyo ndio obe wangu banaaObe AHSANTE SANA.
Pia nitakuwa nisijekuitwa man fongo.
Ngoja kwanza inaanza historiaShusha mambo yetuu sie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona kama unalazimisha wajueHuyo ndio obe wangu banaa
Mpendwa wangu mwenyewe nampendajeee