Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Shem Niadje??Ntakipa matokeo mda mfupi
Yule mjinga akuchimbe bit gan!
Ungeniita mkuu
Hapana my wii nilikuwa nafidia usingizi WA wiki nzima![]()
![]()
hii kitu itakuwa ilizidi
Assante sanaaaPoa shem.
Karibu.

Hehehehehe umetishaaaaaa, wa wiki nzima kufidia itatumia labda mwezi, siku moja tu haitoshiHapana my wii nilikuwa nafidia usingizi WA wiki nzima
Niko poa shem languShem Niadje??
Kila nionapo sura yako huwa nahisi farijiko la ajabu ndani ya moyo wangu...Assante sanaaa![]()
Kaka ulipotea sana leoKila nionapo sura yako huwa nahisi farijiko la ajabu ndani ya moyo wangu...
Subiri aamke sasa
Sister nipo asee...Mzima wewe lakin?Kaka ulipotea sana leo
Shemeji adje arifu?
Mzima sasa, mwambie wifi asikufiche sanaaSister nipo asee...Mzima wewe lakin?
Makapuku tunaenda kua mastaa ase,ila msiringe maana nimekuta mahali wanatusema