Makapuku Forum

Sina shida ya malumbano halafu anajifanya JEURI
...............
Sikia jomba,ili tuendelee kulumbana ningejua kwanza jinsia yako,alieanzisha uzi aliandika nini na mimi nimeandika nini acha kukurupuka bhana
 
Sikia jomba,ili tuendelee kulumbana ningejua kwanza jinsia yako,alieanzisha uzi aliandika nini na mimi nimeandika nini acha kukurupuka bhana
Wakuu tafadhali nawaomba mpunguze jazba kugombana hakuna faida yeyote zaidi ya kubomoa tuliyojenga.

Amani itawale tafadhali.
Sina shida ya malumbano halafu anajifanya JEURI
...............
 
Wakuu tafadhali nawaomba mpunguze jazba kugombana hakuna faida yeyote zaidi ya kubomoa tuliyojenga.

Amani itawale tafadhali.
Jamaa katusema vibaya huko pembeni na ushahidi nimeweka hataki kukubali wala kuomba radhi analeta uzushi uzushi tu anafikiri sisi Makapuku hatujielewi au hii thread sawa na thread zingine
Mwambie a jirekebishe sio kusema Ameen
...............
 
Sikia jomba,ili tuendelee kulumbana ningejua kwanza jinsia yako,alieanzisha uzi aliandika nini na mimi nimeandika nini acha kukurupuka bhana
Tunaongelea 29k na hatujawahi kwenda kinyume na makubaliano, sasa how come we mwenzetu uende ukajifanye ndo msemaji wa Makapuku tena nje ya KF???
Serious unasema eti tumeanza kujiona mastaa??? Kwani ungepiga kimya kama sisi ingekuwaje?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…