Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Sasa ulishindwa kuuliza hapa hapa?? Au ndo kutafuta kick??nilitala tu kumjua rais wa huku
Sasa ulishindwa kuuliza hapa hapa?? Au ndo kutafuta kick??nilitala tu kumjua rais wa huku
Hata mim nilidhani nimepotea kumbe ndo nyumbani, ungabu naye yupoKwema sana mkuu, hadi nilihisi nimepotea njia....Mambo niaje lakin?
Hauko mwenyewe mkuu ..Mbona sielewi elewi
Nahisi mods washafanya yao uzi ukaletwa hapa hapaWakuu Kwema...Nipo pale pale ama nimepotea njia naona hadi wabeba box wako kwa line hizi.?.
Kama vile kuna misunderstandingHauko mwenyewe mkuu ..
Mzima wa afyaDadake mzima!
Hii sasa inaingia akilini maana mara tibua, mara Mbeba box mara...Watu ambao sijawahi waona hapa lakin wako kwenye line...Nahisi mods washafanya yao uzi ukaletwa hapa hapa
Wasituumize kichwa tuwe tunawaignore tu ht waanzishe thread za kututusi si unajua wasaka kick na wanafiki ni wengi ?Naunga mkono hoja
Nahisi kuna thread imeunganishwaMbona sielewi elewi
SwadaktaaaaWasituumize kichwa tuwe tunawaignore tu ht waanzishe thread za kututusi si unajua wasaka kick na wanafiki ni wengi ?
Silence is the best answer![]()
......................
Daah leo tiba katutembelea!Nipe kwanza urais, tiba baadae!!!!
Kazi kweli kweli aisee. Huo UziNahisi kuna thread imeunganishwa
Hawavumi lakini wamo tafuta kapuku forum utawajua vemaMakapuku ni kina nani
Disco lishaingia moraniNahisi kuna thread imeunganishwa
Huu uzi ni kama maji, usipokunywa basi ni lazima uyaogeHii sasa inaingia akilini maana mara tibua, mara Mbeba box mara...Watu ambao sijawahi waona hapa lakin wako kwenye line...
Wacha tuendelee kukimbiza...Watafurahi tu..Huu uzi ni kama maji, usipokunywa basi ni lazima uyaoge
Wamebana wamebana sasa wameachia
Yule mpare wenu ndo alianzisha uzi eti anauliza raisi wa Makapuku ni nani?? Mods ndo wakafanya yaoKazi kweli kweli aisee. Huo Uzi
Yule hajielewi kabisa.Yule mpare wenu ndo alianzisha uzi eti anauliza raisi wa Makapuku ni nani?? Mods ndo wakafanya yao
Au nguo, uvae au umwage laziHuu uzi ni kama maji, usipokunywa basi ni lazima uyaoge
Wamebana wamebana sasa wameachia