Ubarikiwe sana sana ...Bwana Yesu akutunzeNeno zuri huishi. Mungu Aendelee kukubariki mtumishi mwema![]()
Shikamoo mama mchungajiUbarikiwe sana sana ...Bwana Yesu akutunze
Pokea Uponyaji wa mwili na roho my dear ,na jitahidi uende hospitali....ubarikiweJinoo laumaaa![]()
1 Petro 4:7-11

Marahaba za uzima Lyon barikiwaShikamoo mama mchungaji
TUOMBE:
Leo nimeanza siku vizuri,mara paaaaaap mama mchungaji huyu hapa anamwaga upako. Habari ya siku mingiTUOMBE:
UHIMIDIWE JEHOVA MFALME.
Ahsante kwa ulinzi wako kwa usiku kucha.
Tubariki Bwana.
Leo tukawe mikononi mwako.
Poza wauguao, Fariji wenye huzuni, Leta Umoja Upendo na Amani kwa watu wako.
Malaika wako na wakafanye kituo kwa kila mtu , tuingiapo na tutokapo.
Simamia kila jambo Mfalme wa Amani,bariki kazi za mikono yetu,bariki familia zetu ,bariki watoto wetu,bariki mipango yetu.
Naomba ni katika Jina la Yesu Amina
SIKU NJEMA KWENU WOTE MBARIKIWE![]()
AmenTUOMBE:

Amina mama1 Petro 4:7-11
[7]Lakini mwisho wa mambo yote umekaribia; basi, iweni na akili, mkeshe katika sala.
[8]Zaidi ya yote iweni na juhudi nyingi katika kupendana; kwa sababu upendano husitiri wingi wa dhambi.
[9]Mkaribishane ninyi kwa ninyi, pasipo kunung’unika;
[10]kila mmoja kwa kadiri alivyoipokea karama, itumieni kwa kuhudumiana; kama mawakili wema wa neema mbalimbali za Mungu.
[11]Mtu akisema, na aseme kama mausia ya Mungu; mtu akihudumu, na ahudumu kwa nguvu anazojaliwa na Mungu; ili Mungu atukuzwe katika mambo yote kwa Yesu Kristo. Utukufu na uweza una yeye hata milele na milele. Amina.
SIKU NJEMA WAPENDWA...MBARIKIWE![]()
Na wewe piaMbarikiwe pia muwe na siku njema
Napendaa sana covers za nyimbo anazofanya huyu mtoto
AhsanteNa wewe pia
Yuko vizuriNapendaa sana covers za nyimbo anazofanya huyu mtoto
Amen mama mchungaji, nawe pia siku njema1 Petro 4:7-11
[7]Lakini mwisho wa mambo yote umekaribia; basi, iweni na akili, mkeshe katika sala.
[8]Zaidi ya yote iweni na juhudi nyingi katika kupendana; kwa sababu upendano husitiri wingi wa dhambi.
[9]Mkaribishane ninyi kwa ninyi, pasipo kunung’unika;
[10]kila mmoja kwa kadiri alivyoipokea karama, itumieni kwa kuhudumiana; kama mawakili wema wa neema mbalimbali za Mungu.
[11]Mtu akisema, na aseme kama mausia ya Mungu; mtu akihudumu, na ahudumu kwa nguvu anazojaliwa na Mungu; ili Mungu atukuzwe katika mambo yote kwa Yesu Kristo. Utukufu na uweza una yeye hata milele na milele. Amina.
SIKU NJEMA WAPENDWA...MBARIKIWE![]()
Morning NyageiMbarikiwe pia muwe na siku njema