...jana tu, nilikuwa upande wako kabisa na nikawabishia waliosema kuwa kuku huletewi, nikawaambia sio kuku tu, utaletewa sato na sangara. wakapata wivu wakajua utanigaia japo supu ya sato na chapati
...lol! Unamuweka kwenye wakati mgumu sana, alikuwa ashajiandaa kula japo kidali lakini sasa ameishia kupata mawazo tu na ataugua asazi kwa kuumia moyo wa kukosa kuku