Makapuku Forum

AYUBU 42

10. Kisha Bwana akaugeuza uteka wa Ayubu, hapo alipowaombea rafiki zake; Bwana naye akampa Ayubu mara mbili kuliko hayo aliyokuwa nayo kwanza.

kumbe tunapopata nafasi ya kuwaombea wenzetu Mungu hawezi kutuacha. tunaona kwenye Ayubu 42:10 Mungu aligeuza uteka wa Ayubu alipoombea rafiki zake.

Alipata maradufu ya awali.


Hivyo yatupasa kuacha ubinasfi tujifunze kuombeana wenyewe kwa wenyewe.

Mmoja wetu anapopatwa na shida tuache tabia ya kumjadili bali tumuombee ipo neema katika kuombeana

MCHANA MWEMA
 
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…