Makapuku Forum

YEREMIA 29.11 .....Maana nayajua
mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.
12 Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza.
13 Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote.
14 Nami nitaonekana kwenu, asema BWANA,
 
Amen
 
Nawe pia mpendwa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…