makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,589
Kwani shunie mwenyewe kasema kashindwa, kaomba msaada, mwambie lee baba askofu makaveli jr kasema asifanye jambo hilo ni chukizo kwa muumba km mkewe hajakubali wala kuomba..Huyo atakuwa mke wa pili na navomjua shunie hawezi kubariana na maamuzi hayo magumu japo kusaidiana napo muhimu
Mimi naona angalau kujulikana make wakibaki nae kaz ipowabaki nae huko sihitaji hg
We binamu ebu ukuje kwanza hizi mambo za kuku umejuajeYaan sijui alitupiga chabo au kpindi kile tunazungumza jukwaa
Sitaki hausigeli maka wa ninii mimiHausigeli wa vikukuu.. tobaa, shunie ujiandae..
Aje basi aseme nimuombe msamaha tuMuulize au kuna roho mbaya ulimfanyia??
Makaveliiiiooooooooh .....Kwani shunie mwenyewe kasema kashindwa, kaomba msaada, mwambie lee baba askofu makaveli jr kasema asifanye jambo hilo ni chukizo kwa muumba km mkewe hajakubali wala kuomba..
Hata kama ningeshindwa maka housegal sitaki mimiKwani shunie mwenyewe kasema kashindwa, kaomba msaada, mwambie lee baba askofu makaveli jr kasema asifanye jambo hilo ni chukizo kwa muumba km mkewe hajakubali wala kuomba..
ukimaanisha shemMimi naona angalau kujulikana make wakibaki nae kaz ipo
We binamu ebu ukuje kwanza hizi mambo za kuku umejuaje
Slim shady..bongea rapper kwa marapper wa sasa baada ya nas kwa mimi..1972 - Eminem, mwanamuziki kutoka Marekani alizaliwa
Wew umesema wabaki nae. ..nikawaza kwa nn asijulikane tu hgukimaanisha shem
Avb..1977 - Andre Villas Boas, kocha wa mpira wa Ureno alizaliwa
Kweli shem aniambie tu nimuombe msamaha binamu tuishi kwa amani
Marhabaa shemela, vipi hali shemeji..
Halafu utanifundisha ile salamu yenu ya tununu!!
Inawezekana alikua anatusoma kimya kimyaila kuna siku tulijisahau tukawa tunayaropoka
Lap yu zaid bibie..Ubarikiwe sana,sisi ni maua tunategeneana,maua yapo mekundu,meupe,meusi,blue,njano,kijani,zambarau,pinki..yakikaa pamoja hupendeza..ndio maana Mungu katuweka pamoja..tunapendana,tunakubaliana,tunavumiliana,tunashikamana,tunaungana mkono,tutatiana moyo,tunafarijiana,tunagombana,tunapatana,tunasameheana na tunasonga mbele pamoja..Mungu atusaidie sana tuendelee kuwa hai na afya njema...Love you all kapuku's you are wonderful made
Hazina ukali wowote tatzo akili zao ziko fyatu fyatu, wakiongeza na bangi kidogo zinafyatuka..
Sitakiiiii acha wabaki nae hata kumuona nisimuone sitaki jamanWew umesema wabaki nae. ..nikawaza kwa nn asijulikane tu hg
Nakumbuka alivyokuwa fugees na wakina lauryn hill.. waligonga ngoma kali mnoo..1972 - Wyclef Jean, mwanamuziki kutoka Marekani alizaliwa