Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ujue shemela nyie watu wazima mmefanya mpaka nimeitwa huko nije kapuku hivi kwa niniii hamuelewiiiii jaman sio baba d huyo ebu niambieni mnamdai Mr wangu niwalipe au kuna kitu gani kuhusu baba dHawezi kumuita mme mwee me shemeji yake mpoje jamaan
356f53ee4859dc08bc15b25e5a93aefd.jpg
50730740715b0b0bda44886a127cce8a.jpg
Shemela leo hukutaka kabisa kuingia KF

Karibu shemela wangu

Mimi nilitaka tu uje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom