Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki: Juma La Kicongo

Bamitambo banatestiwa dii, yeah maana mutu ana makuta hadi papa Lee empire akakimbia jiji. Si munamujua mujomba yangu ambaye imebidi ajisalimishe nje ya mji kutokana na timbwiri la aunty yangu. Nakusalimia sana Kapuku mwenzangu na kukwambia kwamba jana ilikuwa siku si nzui sana upande wangu maana Mwalimu Nyerere alikufa na huo mwaka ndo nilikuwa namaliz shule hatukufanya graduation hivyo sina hata picha moja ya ukumbusho. Siku serikali ikianzisha msako wa wasio na picha za graduation, nitatumbuliwa maana hii ya umri ninaweza kuikwepa.

Muziki sasa, wiki hii yote tuvumiliane tu maana nitapandisha sana mamiziki ya Kicongo na kama unategemea kutakuwa na details zozote za unga wa Kongo sahau maana hapa muziki tu hamu zako hazitatatuliwa hapa.\
Tuwe na wiki njema Makapuku wenzangu na ninawashukuru wote ambao wakati natest mitambo mmeona kitu kisichojulikana. Nawapenda sana

Asante anko
 
8114970.gif
 
Binamu bila kumuongelea anko wako husikii raha eenh
 
Ujue shemela nyie watu wazima mmefanya mpaka nimeitwa huko nije kapuku hivi kwa niniii hamuelewiiiii jaman sio baba d huyo ebu niambieni mnamdai Mr wangu niwalipe au kuna kitu gani kuhusu baba dHawezi kumuita mme mwee me shemeji yake mpoje jamaan
356f53ee4859dc08bc15b25e5a93aefd.jpg
50730740715b0b0bda44886a127cce8a.jpg
Ww nae kuongea taratibu huwezi
 
Bora umekuja make mpaka amani inakosa isije bro aliacha deni huku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom