Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Huyo c mdogo mtu baba wawiliAisee duh
Huyo c mdogo mtu baba wawiliAisee duh
Mkuu nambie nielewe make nimemuita tumosa shem wetu kwa kuwa sis baby wako ?

Natest mitambo
Ni yeye huyo mme mwee, mwandiko wake unaonekanaHuyo c mdogo mtu baba wawili
Tutaongea chumbani baba wawiliNi yeye huyo mme mwee, mwandiko wake unaonekana
Ni yeye huyo mme mwee, mwandiko wake unaonekana
wewe shem shunie ngoja aje labdaNgoja nkueleweshe shemela,Mkuu nambie nielewe make nimemuita tumosa shem wetu kwa kuwa sis baby wako ?
Muziki: Juma La Kicongo
Bamitambo banatestiwa dii, yeah maana mutu ana makuta hadi papa Lee empire akakimbia jiji. Si munamujua mujomba yangu ambaye imebidi ajisalimishe nje ya mji kutokana na timbwiri la aunty yangu. Nakusalimia sana Kapuku mwenzangu na kukwambia kwamba jana ilikuwa siku si nzui sana upande wangu maana Mwalimu Nyerere alikufa na huo mwaka ndo nilikuwa namaliz shule hatukufanya graduation hivyo sina hata picha moja ya ukumbusho. Siku serikali ikianzisha msako wa wasio na picha za graduation, nitatumbuliwa maana hii ya umri ninaweza kuikwepa.
Muziki sasa, wiki hii yote tuvumiliane tu maana nitapandisha sana mamiziki ya Kicongo na kama unategemea kutakuwa na details zozote za unga wa Kongo sahau maana hapa muziki tu hamu zako hazitatatuliwa hapa.\
Tuwe na wiki njema Makapuku wenzangu na ninawashukuru wote ambao wakati natest mitambo mmeona kitu kisichojulikana. Nawapenda sana
bora kabisaAsante dj Obe kwa musicbora kabisa

Ni kweli kabisa dj Obe, pamoja sanaMdau mamiziki ya kiCongo yana 'utamu' fulani hivi ambao unaleta burudani. Asante kwa kuupenda
Tutaongea chumbani baba wawili
Imegoma,jaribu tena
Kuwa serious mkuu mm shunie shem langu siwezi jifananisha na bro kwake make heshima wanasema ifate mkondo wakeNgoja nkueleweshe shemela,
mm na Shunie tunaitana mke mweee so hata waume zetu ambao ni shululu na Lee Empire huwa wanaitana mme mweee so kwa vle ww ni mdg wa Lee ucshangae kuitwa mme mweeee
sitaki mambo ya hainaga ushemeji