Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Amen
Amen
Karibu kwenye familia ya kapukusiwezi hizo tabia mkuu
Karibu jckie upo homesalama sema i am a new comer
HongeraaaaNilitumiaa
Jpili ikojeKaribu jckie upo home
As usual ukarimu jadi yetuJiskie huru mkuu, chati uwezavyo kasoro kutusiana tu mkuu..

Niko poa chief ulivotoroka na yule mpita njia ndo ukanisahau kabisa ....![]()
![]()
![]()

Iko poa za ww shemelaJpili ikoje
Shukrani mkuuMchana mwema Kapuku wote
Na wewe piaMchana mwema Kapuku wote
Mi mzima shemeji yetuIko poa za ww shemela
Nawe pia kapukuMchana mwema Kapuku wote
Basi poa mkuu, ilikuwa ni tahadhari tuuh..siwezi hizo tabia mkuu
Da tena nimemmisi kweli yaaniMuwe na wikiendi njema nyote, wadau wa kiume kwa wakike
moneytalk love njoo uwasalimie shemeji zako na dada za huku, wanakukosa!!