EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Vijana wagumu kuelewa hahahaaa...Uwe unalike post za wenzako sio kuona raha kupewa like tu
Hapa nipe nikupe
Hatubaguani wala hakuna superstar bali Umoja tu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
..................
Vijana wagumu kuelewa hahahaaa...Uwe unalike post za wenzako sio kuona raha kupewa like tu
Hapa nipe nikupe
Hatubaguani wala hakuna superstar bali Umoja tu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
..................
Ni nzuri kaka, shem liz mzima?Za kuamka kaka
Nani hajakupa?Mbona nyie hamnip like
Mzima wa afya. Hofu kwakkNi nzuri kaka, shem liz mzima?
Kafute kauli yako kule.....km yy ana ushauri si aje huku?Habari zenu makapuku wenzangu?
Salama kaka,habari ya weekend.Habari zenu makapuku wenzangu?
Hupewi like kwakua hutoi likes.Mbona nyie hamnip like
Hutoi ww unapewa tuMbona nyie hamnip like
Hupewi like kwakua hutoi likes.
Pole sana. Umetafuta dawa lakini?Tumbo linauma.
Kichefchefu..
Shida tu.
hay bhan nitakuw natoaHutoi ww unapewa tu
Sisi tunaangalia tu tupo making
But jirekebishe
Ukibana tunakubania
.......................
Yani hapa nataka nitoke nikazitafute.Pole sana. Umetafuta dawa lakini?
Ikikosea njia kidogo tu, puuuu.... Bahariniii
Fanya hivyoYani hapa nataka nitoke nikazitafute.
Hii kazi hata mungu akiniambia hamna kufa sifanyi ng'o.Ikikosea njia kidogo tu, puuuu.... Bahariniii
One lovehay bhan nitakuw natoa
Tatizo ni nini kaka?Weekend iko poa.
Leo sijisikii poa kabisa.
Hahahaaa... hata mimi sipendi hiyo kazi.Hii kazi hata mungu akiniambia hamna kufa sifanyi ng'o.
hiii na wao wanakimbiza hatariiOne love
Sisi adui zetu ni vikongwe tu![]()
........................