Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Uwe unalike post za wenzako sio kuona raha kupewa like tueveryone th name
Hapa nipe nikupe
Hatubaguani wala hakuna superstar bali Umoja tu
..................
Uwe unalike post za wenzako sio kuona raha kupewa like tueveryone th name
Njema kabisa unaendeleaje???Habari ya jumamosi Wanafamilia ya Makapuku?
Na kwako pia brother.Nawatakia jmosi njema wakuu.
Niko na unafuu kidogo, namshuku Mungu.Njema kabisa unaendeleaje???
Thanks bro.Have a nice day
.......................
Kweli kabisaGoodmorning to you all
Heshima kitu cha bure jamani.
Morning brother.Goodmorning to you all
Heshima kitu cha bure jamani.
Weekend iko poa.Hajambo kabisa. Vipi weekend
Poa kaka.Na kwako pia brother.
Na kwako pia Mkuu.Weekend njema makapuku wenzangu
Pamoja sana kaka.Poa kaka.
Nini tatizoWeekend iko poa.
Leo sijisikii poa kabisa.
Za kuamka kakaMorning brother.
Uko poa Dada yanguKweli kabisa
Morning family