EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Naona ni msimu wa homa.Pole sana. Umetafuta dawa lakini?
Naona ni msimu wa homa.Pole sana. Umetafuta dawa lakini?
Komaa kijana, utapata nyingi mno.hay bhan nitakuw natoa
Ugua pole kaka.Yani hapa nataka nitoke nikazitafute.
Mimba hiyo...
![]()
![]()
By the way nenda katibiwe na upate kupona mapema. Pole sana kaka.

Hata wakimbize vipi hawafiki kwa mziki huu tulionao hapa.hiii na wao wanakimbiza hatarii
Hadi huruma kwa huyu kijana.
Akaifute tu ile kauli yake basi.![]()
Usipofuta kauli yako USIRUDI HUKU TENA
Hatupendi unafiki
Huku unaongea hivi kule vile
...........................
....pouwa
Brother vipi.....pouwa
Hii nchi ya hovyo sana.
Nani tena.Kuna mtu nataka kumtumbua maana huwa hatoi like kwa post zangu.
Mambo vipi boss.good morning.
swissme