Wenzake wajanja wakaja kupata derivative ya costant(K) ni zero.. eehh, hyo hyo sifuri
Ila kweli alikuwa ana mawazo ya kikei kei..
Kwenye friction force. Alisema friction inaleta
1.joto
2.kelele
3.kuisha kwa kitu.. yaan michubuko kama tu friction itakuwa kubwa..