makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,443
- 108,490
Alinipata muda ulipowadia, sasa kaniambia namie ntulie nimtunzie mke wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] ,sio nichovye chovye hovyo kama buyu la asali..[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiiii mama kwani yeye alikupataje jamaniii mbona anakufundisha roho mbaya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ujue hivi viumbe vipo ili tutumikianee sasa wewe naona unatumikishwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole sana ila mama yako nimempenda kwelii yawezekana alikuona tangu utotoni akikuogesha na geisha
Baby ake mie Transcend najua wewe msongo wa mawazo unausikia kwa majirani!!!
Si kwa mimi.. mie nikiitwa baby napat stress, naona kama kanizereu, kaona nna mambo ya kitoto, kaona shughuli yangu ya kitoto, akili n kila kitu cha kitoto..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huamini au[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii yao ya vietnam
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuchovya raha wewe tunza kama na huyo mke sijui kakitunzia au ndo yale ya kupatiwa kitchen party kwanza kama wao ?? Ubunifu sifuriiii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] darasani kwanzaAlinipata muda ulipowadia, sasa kaniambia namie ntulie nimtunzie mke wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] ,sio nichovye chovye hovyo kama buyu la asali..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Una umri gani mkuuSi kwa mimi.. mie nikiitwa baby napat stress, naona kama kanizereu, kaona nna mambo ya kitoto, kaona shughuli yangu ya kitoto, akili n kila kitu cha kitoto..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbali na kukatazwa ila unayajuaa hayaSi kwa mimi.. mie nikiitwa baby napat stress, naona kama kanizereu, kaona nna mambo ya kitoto, kaona shughuli yangu ya kitoto, akili n kila kitu cha kitoto..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii labda ya wale wanaume naowasikia wakiitwa wa darHuamini au
MmmmhHii labda ya wale wanaume naowasikia wakiitwa wa dar
Nimeuliza lakinMmmmh
Sina uhakikaNimeuliza lakin
Amina mamy, barikiwa pia[emoji524]Zaburi 22
26 Wapole watakula na kushiba, Wamtafutao Bwana watamsifu; Mioyo yenu na iishi milele.
MCHANA MWEMA MBARIKIWE WAPENDWA[emoji7][emoji7]
Kibabu.. nimekula kula chumvi, shunie anajua vizurUna umri gani mkuu
Naskiaga kwa jiranj, siunajua uswaz chumba hakina ceiling board chief, na maskio haya kiwambo cha kuzuia sauti...[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbali na kukatazwa ila unayajuaa haya
ShkamoKibabu.. nimekula kula chumvi, shunie anajua vizur
Wanantisha eti wananiambia husikii ile methali ya chovya chovya humaliza buyu la asali.. eti nikichovya sana itapukutika na kubak kama kakidole..[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuchovya raha wewe tunza kama na huyo mke sijui kakitunzia au ndo yale ya kupatiwa kitchen party kwanza kama wao ?? Ubunifu sifuriiii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] darasani kwanza
Nawe pia mpwendwa[emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji524]Zaburi 22
26 Wapole watakula na kushiba, Wamtafutao Bwana watamsifu; Mioyo yenu na iishi milele.
MCHANA MWEMA MBARIKIWE WAPENDWA[emoji7][emoji7]
Marhabaa binti, uhali gani!?Shkamo
Huo utafiti wa sakayo ni kweli??Kibabu.. nimekula kula chumvi, shunie anajua vizur