Makapuku Forum

[emoji23] [emoji23] [emoji23] we wapi uliona namuita goma langu bei za 250.. au unakujaga kupiga chabo dirishani!!?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna siku kwenye lipantoniiii la uko kwenu nilikaa na wewe karibu kama nilisikia unamcall swty potato wakat muunganiko wake ndo unatengeneza kiepe buku jeba
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] muongo wewe kwanza mie sina goma, mama kanikataza michezo hyo, muulize shunie,we jamaa ni muongo, halaf pale huwa sipandi pantoni, huwa navuka kwa kuogelea...[emoji23] [emoji23]
 
Hiiii mama kwani yeye alikupataje jamaniii mbona anakufundisha roho mbaya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ujue hivi viumbe vipo ili tutumikianee sasa wewe naona unatumikishwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Pole sana ila mama yako nimempenda kwelii yawezekana alikuona tangu utotoni akikuogesha na geisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…