Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23] [emoji23] [emoji23] pm ya nin ndugu yangu, uduwanzi huo sina dada yangu..

Mie na wewe tena, naanzaje kukuchoka hamna kitu najiskia raha kama kumsaidia mtu ambae ananikubali nami namkubali..

U r welcom shunie wangu..
[emoji120] [emoji120] maka ila kuna moja tu linakuja kuja la robot jaman ila sio mbaya kuliko mwanzo kila dk 1 linakuja hili linaingia lile
 
Back
Top Bottom