Makapuku Forum

Makapuku Forum

Maka asante tena jamaan [emoji120] Mungu azidi kukubariki kukiwa na chochote tena nitarudi tena usinichoke angekuwa mwingine njo pm we elekeza apa apa kama makaveli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pm ya nin ndugu yangu, uduwanzi huo sina dada yangu..

Mie na wewe tena, naanzaje kukuchoka hamna kitu najiskia raha kama kumsaidia mtu ambae ananikubali nami namkubali..

U r welcom shunie wangu..
 
Back
Top Bottom