Makapuku Forum

Makapuku Forum

Veeeep unajua siku nitakuita tukiwa tunapiga mechi na baba d uwepo ili uamini kama tunakulana halaf kuna shemeji yangu mdogo ake baba d jamaan msitake niongee visivyoongelewa sisi sio bongo movie tunajuana na tunakulana
Mm shahidiiii

Wewe ongea chochote nishakua mkubwa
 
Veeeep unajua siku nitakuita tukiwa tunapiga mechi na baba d uwepo ili uamini kama tunakulana halaf kuna shemeji yangu mdogo ake baba d jamaan msitake niongee visivyoongelewa sisi sio bongo movie tunajuana na tunakulana
Sasa hiyo tena itakuwa ni x shunie

Huhitaji nguv kubwa sana kutuaminisha, hata tukikataa ukweli uko pale pale n tukikubali ukweli uko pale pale.. cha msingi ujue tupo makundi mawili, tusioamin na tunaoamin.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom