Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Hiko chakula jaman acha kabisa na samaki pembeni [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiko chakula jaman acha kabisa na samaki pembeni [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Baba D mzima ?Nimefika shem
Na baba D alikula ?Hiko chakula jaman acha kabisa na samaki pembeni [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Neutral maana yake sijatia kitu tumboni, nimeweke dash mpaka jion hyo, najikung'utia zangu wali ndondo robo nagugumia maji jagi zima, safi nakung'uta miguu najilaza kwenye kipande changu cha mkeka.. shuka gubigubi, mbu, kunguni watajijua na balaa lao, ili mradi nshafunga macho, case closed mpaka kesho panapo majaaliwa ya rabana...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ata hiyo neutral inatosha chief muhimu upate kisingizio cha kwenda kuchuchumaa
Unadhani atakuwa nani!?Wewe ndio umeandika haya
Alikula ugali jaman baba d na walk tofautiNa baba D alikula ?
Mzima sana sana [emoji4][emoji4][emoji4]Baba D mzima ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapanaMbona sasa fikra zangu zinanionesha umewaza tofauti
Yaan maka wewe jamaanNeutral maana yake sijatia kitu tumboni, nimeweke dash mpaka jion hyo, najikung'utia zangu wali ndondo robo nagugumia maji jagi zima, safi nakung'uta miguu najilaza kwenye kipande changu cha mkeka.. shuka gubigubi, mbu, kunguni watajijua na balaa lao, ili mradi nshafunga macho, case closed mpaka kesho panapo majaaliwa ya rabana...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Si haya haya, labda ni maisha ya yahaya.Maisha haya haya maka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si haya haya, labda ni maisha ya yahaya.
Hongera kwa 286K[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekupata chiefNeutral maana yake sijatia kitu tumboni, nimeweke dash mpaka jion hyo, najikung'utia zangu wali ndondo robo nagugumia maji jagi zima, safi nakung'uta miguu najilaza kwenye kipande changu cha mkeka.. shuka gubigubi, mbu, kunguni watajijua na balaa lao, ili mradi nshafunga macho, case closed mpaka kesho panapo majaaliwa ya rabana...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeona, we umepata wali ndondo mie jana nimebugia ugali wangu dagaa uliobaki mchana na mimaji.Nimekula jana [emoji1][emoji1][emoji39][emoji39][emoji39]
Sio magimbiAlikula ugali jaman baba d na walk tofauti
Msalimie mwambie Arusha anasalimiwa ndo nilipoMzima sana sana [emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Alikula ugali jaman baba d na walk tofauti
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mzima sana sana [emoji4][emoji4][emoji4]
Nini shunie!![emoji85] [emoji85]Yaan maka wewe jamaan