makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,893
- 104,126
Mwenzako anataka afaid movie ya kikubwa kijanja.. tena ni pure bongo material..Sasa maka shemela shululu ananichosha kila siku jamaan

Mwenzako anataka afaid movie ya kikubwa kijanja.. tena ni pure bongo material..Sasa maka shemela shululu ananichosha kila siku jamaan

Ndo wewe bwanaa hafu tabia ya kuondoka na shunie sio
Na mm sisemiiiHuyo kwakweli pa kumpata sijui mpaka arudi kapuku ujue
Sio Lee huyo na baba d alishaongea toka mwanzo ni mdogo wake tufunge hiyo mada kwenye kuamini aamini asiyeamini atajua mwenyeweNdo wewe bwanaa hafu tabia ya kuondoka na shunie sio
Me wa uswazi maka yaanWajiramba tu, unaweza haya mambo we mtoto wa geti!?
Kuna kale kamsemo nakapenda, eti waigizaji wote waigize ila anaigize x, kato.... Kweli!!!Shem nisamehe tu ila shemela shululu ananitafuta niongee yasiyoongelewa kila siku me na baba d eti bongo movie ananichosha ila nitamuita tu aje kula cinema ya bure ili aamini

Mapicha hatuwezi wawekea apa sio insta wakitaka wakuje tulipoBhasi ndo mjitoe ufahamu muweke mapicha waamini
Ila wanakosea bro anakula kweli na siliasi waniulize mm kama hawaamini
Au kisa D ndo hawaamini
Au niwe yeye sasa nione wanataka niniSio Lee huyo na baba d alishaongea toka mwanzo ni mdogo wake tufunge hiyo mada kwenye kuamini aamini asiyeamini atajua mwenyewe
Shem jamaanHahahahahaha hapana nipo home arusha nimepaota
Sio nalijambisha, nimesema nalijampisha..Unalijambishaje

Basi atafaidi vizuri yaan show ya kibabe nitamuitaMwenzako anataka afaid movie ya kikubwa kijanja.. tena ni pure bongo material..![]()
![]()
Shem ndio vizuri ujue usiponiambia ili niishi kwa amaniNa mm sisemiii






Hivi mkilana au kutokulana wanapata faida ipiMapicha hatuwezi wawekea apa sio insta wakitaka wakuje tulipo
Siwezi shemela, D hajamboZa jumapili nzuri sana shemela ila naona unataka kunitolea upako wangu niliorudi nao toka kanisani
Teh teh teh.. haya miss uswazi.Me wa uswazi maka yaan
Kuna kale kamsemo nakapenda, eti waigizaji wote waigize ila anaigize x, kato.... Kweli!!!
Nasijui umeingiaje hapa, umenitoka tuu![]()
![]()
![]()










Shem nisamehe tu ila shemela shululu ananitafuta niongee yasiyoongelewa kila siku me na baba d eti bongo movie ananichosha ila nitamuita tu aje kula cinema ya bure ili aamini
aisee
Ndio hapo sasa hata ukiwa yeye tatizo ni niniiAu niwe yeye sasa nione wanataka nini