makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,442
- 108,477
Duh.. kweli waingereza sio dhamana.. ndio wametuambukiza huu uchizi..Wanachangamkia fursa
Duh.. kweli waingereza sio dhamana.. ndio wametuambukiza huu uchizi..Wanachangamkia fursa
Sawa ndugu yangu, ondoa shaka mufti.. nakutakia kila la kheri, mambo yako yafanikiwe kiulain, urud tena tuendeleze gurudumu la kapuku. Inshaallah kheri.Maka kwa sababu uliingia chaka mwezi naa.... Na mimi nakuaga naingia chaka mpaka November.... Yoyote atakayeniulizia utampa taarifa kwa niaba yangu tafadhali ....sawa Maka.?
Vip hali jirani.. mamaa ya batoto yako iko byeee..!!?Morning jirani
UmechapiaMorng jiranj
Kuonesha na mie ni binadamu, sio mungu..[emoji23] [emoji23] [emoji23]Umechapia
Morning shululu hopely hujambo na pia mzima wa siha njemaMorning all kapuku
Na wewe pia mkuu shululu ahsante sana kwa font ferdView attachment 603686Asubuhi njema makapuku wote na week end njema
Pamoja sana jiraniShukrani kwa magazeti jirani..
Iko byee, vip sweetiepie hajamboVip hali jirani.. mamaa ya batoto yako iko byeee..!!?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] na vilema, vipofu, vizuri na albino jeKuonesha na mie ni binadamu, sio mungu..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Morning, niko poa kabisa Mwifwa, za pande hizoMorning shululu hopely hujambo na pia mzima wa siha njema
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Na wewe pia mkuu shululu ahsante sana kwa font ferd
Iko na byeee kabisa...Iko byee, vip sweetiepie hajambo
AaminSawa ndugu yangu, ondoa shaka mufti.. nakutakia kila la kheri, mambo yako yafanikiwe kiulain, urud tena tuendeleze gurudumu la kapuku. Inshaallah kheri.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Shunie ndo yule mwenye pensi ya bluu...najua sana mnanipenda na siku mlipokuja kwenye birthday yangu nilifurahi sana. nikawapiga picha wewe umekaa kwa mbalia na anko kwenye nguo zake za kipedeshee
![]()
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi ndio huyo nyuma kibonge
Salama wa salminWakuu habar za siku.
Uko poaSalama wa salmin