...ngoja nikuchoree nilivyo, kwanza nina kichwa kinachopendeza kipara, shingo nene kidogo, mrefu 5.10ft, tumbo huwa linabadilikabadilika ila mara nyingi ni 8pack halafu ni mweusi, macho mekundu. Sivuti sigara wala sinywi pombe, napenda K tatu maana Nyerere alihimiza sana tuzijue.
Nimesahau age kukuambia, age yangu siruhusiwi kugombea tena UVCCM au BAVICHA sasa nipo katikati hapo.
Afu napenda muziki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekupenda sana muonekano wako unavutia[emoji7]
...asante sana, sasa hapo nisisikie tena mwanao analeta mambo zake.
Good morning
Nikimtaja utanilinda makaNani huyo!!?[emoji379] [emoji379] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Hajatekwa jamanHajatekwaa?
Nitunze basi [emoji4][emoji4][emoji4]Mmmmmmh uko vizurii
Abeeeh maka za weweShunieeee
Teh teh teh.. naona wamtambia lee empire wako..Natamba ×3
kilichonishawishi ni upole wako na heshima yako wazazi wangu wamekusifia sana kwa tabia yako sura yangu ya upole shunie mimi [emoji4][emoji4] imemvutia baba d wangu shape twiga mwenda pole anajivunia lee empire [emoji7][emoji8] tupeane mapenzi iwachome na kama no waisome hata tukigombana wasione washike jembe wakalime mapenzi mazuri wakikutana wawili wanaopendana [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] tusizidishe washauri watasababisha tugombane [emoji12]
Woooooooozaaaaaaaaaaaa
Binamu yangu obe kipenzi najua mambo hizi zangu na mjomba ako hutaki kabisa kusikia naomba niweke mie nyimbo ya natamba ya aslay niendelee kumtambia mjomba hata kama umeshaweka nyimbo naomba uniwekee kama hauna bundle nikutumie na ole wako usiweke nakushtaki
Ntamlinda.. ulinzi 100% guaranteeNikimtaja utanilinda maka
Binamu aniwekee hainaga ushemelaNitunze basi [emoji4][emoji4][emoji4]
Katekwa nanHajatekwa jaman
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maka acha nitambe tu hakuna namna usipotamba wewe watakuja kukutambia wenzioTeh teh teh.. naona wamtambia lee empire wako..
Tamba tu bibie, maana hakuna namna, namie nasema tamba kuzid hata sultan tamba
Salama, za kwako shunie!!?Abeeeh maka za wewe
Hahaa.. kwa kweli.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maka acha nitambe tu hakuna namna usipotamba wewe watakuja kukutambia wenzio
Ahahhaha naogopa mieNtamlinda.. ulinzi 100% guarantee
Naenda kukusemeaBinamu aniwekee hainaga ushemela
Hivi ulimzungumzia nani shem wa kutekwa etiKatekwa nan
Safi jaman makaSalama, za kwako shunie!!?
Ahahaha huo ndio ukweli ujueHahaa.. kwa kweli.
Mm mbona sikukusemea yale ya juzNaenda kukusemea
AnkoHivi ulimzungumzia nani shem wa kutekwa eti