Makapuku Forum

...huwa natizama movie za kitambo kuanzia namna biashara ilivyoanza na kusambaa. matumizi ya fedha/hela/sarafu dhahabu na kanuni za uhasibu basi Venice/Italy, Uturuki, Iran huzikosi
Vizuri
 
Duuu....huo mjina mchungu km klorokwini[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mie tatzo chimbo ilizid, sikuenda shule siku zote ila siku ya mkwawa nikabahatika kwenda, tatzo mtihani hawakutoa kwenye mkwawa nikapata sufuri bin sifuri.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siku ya mkwawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…