Anataka kuchosha watu tu hapa anachukia watu kuitana baby atafute na na ye baby wake wakuje kuitana yaan huku kapuku bila mapenzi hakuendi anatakiwa atambue hilo [emoji41][emoji41][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] alichokuwa anakitafuta kakipata
Mambo mimi sijui weweMarhabaa mjukuu wangu.... Jambo wewe?
Asante T jaman ubarikiwe tuWoiii...
Nakuagizia hata maji mimi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sawaEwaaaaaa huyo huyo ndio wa kumpa shikamoo mke mwee
Nko poa mmPoa mke mwee za wewe mama jj wa insta
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] leo wkend ujueMkuu shikamoo
Hata me naona msalimie shemela shululu akija mke mweeNko poa mm
Haswaaa[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]Anataka kuchosha watu tu hapa anachukia watu kuitana baby atafute na na ye baby wake wakuje kuitana yaan huku kapuku bila mapenzi hakuendi anatakiwa atambue hilo [emoji41][emoji41]
Imefanyaje tena mke mwee unataka kwenda mzalendo kila mishkaki[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] leo wkend ujue
Amen, Asante mama mchungaji kwa neno la uzima[emoji524]Shalloooom[emoji28]Shalloooom[emoji28]
Neno LA Jioni
Furahini katika Bwana sikuzote; tena nasema, Furahini.
Rejoice in the Lord always and again I say, Rejoice.
Wafilipi 4:4
Hata kama unapitia magumu kiasi gani we furahi tuu maana ukifurahi unamwonyesha shetani kuwa jaribu alilolileta nalo si kitu kwako..
Ni kama Unakunywa tuu [emoji117][emoji480][emoji123][emoji23][emoji125]♀[emoji125]♀
Usionyeshe huzuni yako !mbele ya maadui zako tena ukiwaona ongeza kicheko ili wakaaibike wenyewe
Kwa jina LA YESU KRISTO Uwe hodari[emoji123]
Baby baby ndio mambo za kapuku ukinuna kwa miwivu utakufwa haraka uache wenzio waendelee kuitana baby maisha mbona simple sana ambavyo havikuhusu achana navyo jamanHaswaaa[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Shemela wa mimi apaNa we tafuta baby pia hujakatazwa na kuliamsha humu kila siku watu wanaliamsha mambo ni yale yale tu hakijabarika kitu kapuku kama bus tu ukishuka wengine wanapanda
1961 - Julia Gillard, Waziri Mkuu wa Australia (2010-2013) alizaliwa
My love TShikamooo
Shemela wangu mie jaman za weweShemela wa mimi apa
2012 - Hebe Camargo, mwimbaji na mwigizaji wa filamu kutokaBrazil alifariki
Wewe wa bongo movie shemela [emoji3] [emoji3] [emoji3]Poa mke mwee za wewe mama jj wa insta
Aiseeee...alifanikiwa kuiongoza nchi yake na kuongeza sera zilizohimiza masuala ya uzazi, elimu tiba na uhamiaji. Haamini katika uwepo wa Mungu na anawaheshimu sana wanaoamini uwepo wa Mungu, kila mmoja na achoamini. Maamuzi yake ni kutotaka kuzaa watoto, japo sio mtawa.
[emoji134] [emoji134] [emoji134]Mkuu shikamoo
Sawa shemela wangu mie wa bongo movie kabisa yaan sijui ningekuwa wa bongo movie kama ningejuana na mdogo wake baba d [emoji41][emoji41][emoji41]Wewe wa bongo movie shemela [emoji3] [emoji3] [emoji3]