Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki: Msaada na Selfie

Najua uko na wakati mzuri usiku huu, yes, haijalishi siku ilikuwaje maana kuna mengi mazuri na mabaya lakini yafaa nini kuyakumbuka mabaya ya jana huku ukijua kabisa yanakuletea machozi moyoni na kukufanya ushindwe kuendelea. Hongera kwa kutoowaza mabaya yanayokuletea vurugu ya moyo.

Jana sikutokea, ujue nini, ngoja kwanza maana sihitaji useme 'eehhe' ukikumbuka hadithi za miaka ile mama na mwana. Basi bhan, wakati najirejesha maskani mara paap roli la bia trailer likakatika full kubingirika bingilibingili mpaka chini, kama msamalia mwema nikawa miongoni mwao tuliojitokeza kusaidia chupa zilizosalimika. Hadi zimamoto na polisi wanafika waokoaji tushalewa na makreti 200 hayajulikani yalipo. Polisi nao hawana dogo, wakavua kofia, toa mkanda wakaanza kuhakikisha vidhibiti kama ni bia kweli. Baadaye wakaishia kupiga selfie tu maana bia za moto huingia kwenye damu haraka.

Muziki sasa, karibu sana Ubongo Mpana , KF ni sehemu nzuri kwa sababu wewe unaungana na Makapuku waheshimika kulipendezesha jukwaa hili.

Swadakta mkuu

Jana sikutokea, ujue nini, ngoja kwanza maana sihitaji useme 'eehhe' ukikumbuka hadithi za miaka ile mama na mwana. Basi bhan, wakati najirejesha maskani mara paap roli la bia trailer likakatika full kubingirika bingilibingili mpaka chini, kama msamalia mwema nikawa miongoni mwao tuliojitokeza kusaidia chupa zilizosalimika. Hadi zimamoto na polisi wanafika waokoaji tushalewa na makreti 200 hayajulikani yalipo. Polisi nao hawana dogo, wakavua kofia, toa mkanda wakaanza kuhakikisha vidhibiti kama ni bia kweli. Baadaye wakai Ubongo
 
Muziki: Msaada na Selfie

Najua uko na wakati mzuri usiku huu, yes, haijalishi siku ilikuwaje maana kuna mengi mazuri na mabaya lakini yafaa nini kuyakumbuka mabaya ya jana huku ukijua kabisa yanakuletea machozi moyoni na kukufanya ushindwe kuendelea. Hongera kwa kutoowaza mabaya yanayokuletea vurugu ya moyo.

Jana sikutokea, ujue nini, ngoja kwanza maana sihitaji useme 'eehhe' ukikumbuka hadithi za miaka ile mama na mwana. Basi bhan, wakati najirejesha maskani mara paap roli la bia trailer likakatika full kubingirika bingilibingili mpaka chini, kama msamalia mwema nikawa miongoni mwao tuliojitokeza kusaidia chupa zilizosalimika. Hadi zimamoto na polisi wanafika waokoaji tushalewa na makreti 200 hayajulikani yalipo. Polisi nao hawana dogo, wakavua kofia, toa mkanda wakaanza kuhakikisha vidhibiti kama ni bia kweli. Baadaye wakaishia kupiga selfie tu maana bia za moto huingia kwenye damu haraka.

Muziki sasa, karibu sana Ubongo Mpana , KF ni sehemu nzuri kwa sababu wewe unaungana na Makapuku waheshimika kulipendezesha jukwaa hili.

Asante Obe
 
Kitu na box
 
IMG-20170928-WA0008.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom