makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,442
- 108,486
Morng joh..Morning ladies and gentleman's!
Morng joh..Morning ladies and gentleman's!
Ahsante mama mtumishi..[emoji524]Zaburi 119:140,165
[140]Neno lako limesafika sana,
Kwa hiyo mtumishi wako amelipenda.
[165]Wana amani nyingi waipendao sheria yako,
Wala hawana la kuwakwaza.
DAMU YA YESU IWAFUNIKE[emoji7] [emoji7] [emoji120] [emoji120]
[emoji524]Biblia. Waefeso 6:11-12
[11]Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani.
[12]Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
HALELUIYA HALELIIYA
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Nakupenda pia sana mke wangu [emoji173] [emoji173]
Napenda mkiwa katika hali hii, msisikilize yawanafiki..Nakupenda
Amen, Asante kwa neno mama mchungaji[emoji524]Zaburi 119:140,165
[140]Neno lako limesafika sana,
Kwa hiyo mtumishi wako amelipenda.
[165]Wana amani nyingi waipendao sheria yako,
Wala hawana la kuwakwaza.
DAMU YA YESU IWAFUNIKE[emoji7] [emoji7] [emoji120] [emoji120]
MorningMorning ladies and gentleman's!