makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,442
- 108,486
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
Nimekusoma mkuu,wacha tule chumvi tuongeze madini mwilini![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kula chumvi kijana, usisikilize ya watu.Nimekusoma mkuu,wacha tule chumvi tuongeze madini mwilini!
NakupendaNiambie mke wangu mpenzi
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Niko gud kabisa my swi
Hapo me maskio nimeziba kjn!Kula chumvi kijana, usisikilize ya watu.
Nimekupata jiraniChukua faida za tende mwilini, jumlisha na maziwa hamna la ziada labda utamu wake unanikosha, napenda ladha yake.
Katika quraan 16:66 maziwa yametajwa kama ndio kinywaji bora
Wakati bi maryam anajifungua nabii issa alioteshewa mtende, mtume pia alikuwa anapenda tende
Mengine ni maneno ya watu tuu
Nawe pia jiraniUsiku mwema kwenu
Nakupenda pia sana mke wangu [emoji173] [emoji173]Nakupenda
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173]Nakupenda pia sana mke wangu [emoji173] [emoji173]
Tukalale baba wawiliNawe pia jirani
Ngoja mpira uishe mama wawiliTukalale baba wawili
Sawa nakusubiriNgoja mpira uishe mama wawili
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Sawa nakusubiri
Nasema hivi we kula chumvi, na atakae kuletea ngendembwe, mlete kwangu shwain..Hapo me maskio nimeziba kjn!
Shukrani mkuuNimekupata jirani