Makapuku Forum

[emoji523]KUWA MWANGALIFU NA MANENO YAKO UTAMKAYO.....

[emoji524]MATHAYO 12

37. Kwa kuwa kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.


[emoji524] MITHALI 6

2.Basi umetegwa kwa maneno ya kinywa chako, Umekamatwa kwa maneno ya kinywa chako.


NAWATAKIA USIKU MWEMA MLINDWE NA DAMU YA YESU [emoji7][emoji120]
 
Amina shem
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Amen
 
Hivi juice ya tende ina nini jirani
Chukua faida za tende mwilini, jumlisha na maziwa hamna la ziada labda utamu wake unanikosha, napenda ladha yake.

Katika quraan 16:66 maziwa yametajwa kama ndio kinywaji bora
Wakati bi maryam anajifungua nabii issa alioteshewa mtende, mtume pia alikuwa anapenda tende

Mengine ni maneno ya watu tuu
 
[emoji120] ubarikiwe mtumishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…