BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Amina Amina![]()
Mama mchuchu ndio nimemaliza kulisoma hapo..
Asante sana.
POWERFULAmina Amina![]()
Mama mchuchu ndio nimemaliza kulisoma hapo..
Asante sana.
POWERFULTunakupenda ubarikiweHabar zamida.. hope wote mchana wenu ulikuwa poa.. nawapendeni nyote.
Muziki: HekaHeka za Pretender
Uko na khali gani Kapuku mheshimika, unajua kabisa huwa sichoki kusema kuwa wewe ni mtu muhimu sana hapa jukwaani na bila uwepo wako wewe, yeaj, wewe hapo unayenisoma muda huu. KF bila wewe labda ingeitwa jina jingine lakini kwa kuwepo kwako hapa KF imekuwa ni brand hapa JF na sio bland. Heh, tafuta uone tofauti ya brand na bland ndo utajua KF tuko juu.
Basi bhana, nilitimba ugenini hapa Lindi na nilienda kwa washua kweli kweli, msosi kila mtu sahani yake, sio ishu maana hata nilikotoka ndo tunafanyaga hivyo, basi watu hata Bismillah hatujamaliza mara vijiko na uma vinapitishwa, mimi first day nikaiga wanachofanya , wallah tena sikushiba jioni nikaziba masikio, kitu wali ndondo kijiko cha nini. Na nikaomba na mahaba kabisa wakasema wamepikia gesi wali haukubanikwa hivyo no mahaba. Itanendelea...
Muziki sasa, heka heka za pretenda zinaweza kukuumbua siku moja na ukajikuta kama huyu ninayemheshimu ambaye wote mnajua ni kaka wa mama yangu. Fumanizi limemkuta ikabidi nimtetee na mimi nikapretend maana haya ni mambo ya ukoo

ZABURI Mlango 125ZABURI Mlango 125
1 Wamtumainio BWANA ni kama mlima Sayuni,Ambao hautatikisika, wakaa milele.
2 Kama milima inavyouzunguka Yerusalemu,Ndivyo BWANA anavyowazunguka watu wake,Tangu sasa na hata milele.
WEWE NIWATHAMANI SANA MBELE ZA MUNGU WEWE NI MBONI YA JICHO LA MUNGU UJAPOPITIA KTK MAJARIBU NIYAKITAMBO TU YANAPITA HAYO UTUKUFU WA BWANA UMEKUZUNGUKA.
Muwe na usiku mwema Damu ya YESU iwafunike mlale kifalme.
Ahsante mama mchungaji.. baraka juu yetu sote.Tunakupenda ubarikiwe
Ahsante mama mchungaji.. baraka juu yetu sote.
Hebu kwanza nipasie kishungi hicho, akili ikae sawa.....wewe muda wa kulala bado sana, kidoro cha MC Chaku pale container huwezi kukikosa wewe
Hebu kwanza nipasie kishungi hicho, akili ikae sawa.
'....duh, nyie ndo mnaochanganya bange na sigara, mnaoa tumbaku mnaweeka majani. Kishungi cha nini kama umenyonga na rizla? nitakupiga na gongo ugalegale kama wakati wa kampeni'' alinukuliwa spika wa bunge wakati akiongea na kituo chetu
MorningMorning all makapuku!