Makapuku Forum

Pamoja sana kwa team Makapuku wote.
 
Mi wala sina tatizo my,japo nlikwazika but sasa nshasahau!
Emmyguy usiondoke na kama maneno yangu Yalikukwaza nisamehe!
Emmy upo

Kaka sema neno kwa Aggy, wew ni mwanaume, onyesha ukomavu wako kiakili na uvumilivu, aggy naye aliumia kumbe, tena anaumwa kama wewe, sahau yalopita. Mwenzio anaomba msameheane yaishe kaka, sema neno kwake. Nakuheshimu usiniangushe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…