Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Sasa mwanya ili mate ufaidiii mengii auhamna aliyeniambia kama anazile sifa zangu
Tuanziee hapo
Sasa mwanya ili mate ufaidiii mengii auhamna aliyeniambia kama anazile sifa zangu
Nimekuuliza tuPole pole basiiii
Nampendaaa ndioooo
Aweke steel plate ya 4mm.Na wewe acha kuringishiaaaa...kama unaona watafaidiii ipigee plastaa ila anza na andika skimming powder



Sawa binamu msalmieOh, hajambo sana, anawasalimia. Anachaji simu yake. Ninampenda sana
Ulikuwa umezaliwa kweeeli![]()
Enziiiiiii hizooooo!
Nilikuwa sikosi shows za Ngwasuma na Twanga pepeta.
...japokuwa aunt yangu anajisema kuwa na moyo wa paka lakini kwa hili nimeguswa sana ikabidi nimtakie usiku mwema.
Kama kuna mdau anajua kuandika talaka vizuri, mwandiko mzuri ajitokeze tunaweza kumsaidia aunt yangu, nimeumia sana.
Hivi yule mdigo yupo?

HahahaaaaUlikuwa umezaliwa kweeeli
Ungejua ilikuwa August 11Nimekuuliza tu
Cc
Shululu ninunulie pizza na mie![]()
Sakayo ! Sakayo!
Naomba ukaninunulie Pizza.![]()
Yaaani sitokusamehe kwa hiloUngejua ilikuwa August 11
Raha yake nashindwa hata kuielezea aseeSasa mwanya ili mate ufaidiii mengii au
Tuanziee hapo
We acha tuuNaona meno yote 32 nje kwa furaha
Na wewe umepata wa kwako eeh?Shululu ninunulie pizza na mie