Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Hahahaaa...Yaaani sitokusamehe kwa hilo
Hahahaaa...Yaaani sitokusamehe kwa hilo
Hivi tetra mmesalmiana kweliMmmh tutakoma kina sie wallah
Unataka kuniua wakati sijafaidi bado mema ya nchi??
Nafurahi umerudi, nilidhani umekula kona baada ya ombi langu kwakokwanini tena jaman
Mmh kukuua tena??Unataka kuniua wakati sijafaidi bado mema ya nchi??
Tumesalimiana banaHivi tetra mmesalmiana kweli
Vigezo na masharti, havijazingatiwaHamna hata mmoja
Tetra hapahamna aliyeniambia kama anazile sifa zangu
Unajua lakiniiHahahaaa...
T hii ni GTA vicity??![]()
Enziiiiiii hizooooo!
Nilikuwa sikosi shows za Ngwasuma na Twanga pepeta.
Cmuachi kwa kweliNa wewe umepata wa kwako eeh?
Hakikisha anakuja nayo.
Imemiona???Unataka kuniua wakati sijafaidi bado mema ya nchi??
Nishategua mtegoCc
Tetra
Shunie