Makapuku Forum

Mi wala sina tatizo my,japo nlikwazika but sasa nshasahau!
Emmyguy usiondoke na kama maneno yangu Yalikukwaza nisamehe!
 
Mi wala sina tatizo my,japo nlikwazika but sasa nshasahau!
Emmyguy usiondoke na kama maneno yangu Yalikukwaza nisamehe!
Emmyguy mwenzako amesamehe na kukutaka usamehe nawe sema neno kaka
Habari ya asubuhi wanafamilia wote!
Mwenzenu naumwa, homa iko inanisumbua sana.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…