Pamoja sana mkuu, nilikuwa na tatizo la kuingia JF toka jana usiku, yani ilikuwa ni mpaka nitumie browser ila application ilikuwa hainipi option ya kureply wala kuqoute sasa nimelazimika kuifuta na kuidownload upya ndo naona mambo yako sawa sasa,
Nafurahi mmewakilisha vyema na nakutakia siku njema