Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,045
Furahi day imefika brother.Ha haa naona 30k ileeeeeee
Furahiii day again
Natumai umeamka salama kabisa.
Furahi day imefika brother.Ha haa naona 30k ileeeeeee
Furahiii day again
Niko puwa saana.....ShemMornie shem
Hope uko poa....
Happy fridayyyyyyyyyyyyyMorning all
Happy Friday
Asante sana shemeji.Mornie shem
Happy Friday to you
Mimi nashukuru niko vizuri kabisa.Kumekucha wakuu, mmeamkaje?
Tumeamka amkaa tuu daaaahKumekucha wakuu, mmeamkaje?
Mie nimeamka salamaaaaAsante sana shemeji.
Ni matumaini yangu kwamba umeamka vizuri kabisa.
Amina ila Hapo kwenye watoto kumi hapanaaaaaaaaMbarikiwee kwakweli muwe na familia bora mpate watoto zaidi ya kumi

Nice msg
Sumbai roho yake mbaya sana.Amina ila Hapo kwenye watoto kumi hapanaaaaaaaa
Si ntazeeka mapema![]()

KhaaaaaSumbai roho yake mbaya sana.
Duh!!![]()
![]()
![]()

Ha haaa......uzee barakaAmina ila Hapo kwenye watoto kumi hapanaaaaaaaa
Si ntazeeka mapema![]()
Anataka uzeeke mapema ili brother akupige chini.Khaaaaa
Yaani niingie labor Mara kumi![]()
Uwiiiii![]()
![]()
![]()